DOWNLOAD RODGERS ISRAEL ft WATOTO WA PARADISE - TUDUMISHE AMANI


Nchi yetu kwa sasa unapoteza ule muelekeo wa AWALI tuliokua nao yaani
AMANI. Kila kukicha matukio tofauti tofauti ya kuhatarisha AMANI yetu
yanatokea kitu ambacho kitatupeleka kwenye VITA vya wenyewe kwa
wenyewe.

Mimi kama Rodgers Israel nimeliona hili na kulitazama kwa jicho la
tatu ndio maana nimeweza kuwakutanisha wasanii zaidi ya kumi na kuimba
wimbo huu wa TUDUMISHE AMANI ili kuikumbusha jamii ya Watanzania na
Dunia kwa ujumla kuwa tunapaswa kuilinda AMANI tuliyonayo kwa ajili ya
vizazi vijavyo vya nchi yetu.

Ndani ya wimbo huu wameimba wasanii zaidi ya kumi maarufu kama watoto
wa Paradise  ambao ni Chris wa Jano, Soja B, G wa Simon, G fire, Lady
Nike, Mass B, Rayswing The Ngada, Yung Omega, Simpoo, Dj A11, Lady
Yoo, Joseph Amani na mimi Rodgers.
Wimbo huu umetengenezwa na Producer Soja B kutoka pande za TVC RECORDS
Kimandolu Jijini Arusha.

Kwa Interviews unaweza kunitafuta kwa +255 764 288 054.

naombeni support yenu ili watu wote wapate huu ujumbe

“WATANZANIA AMANI YETU IKO WAPI, TUKUMBUKE TULIPOTOKA, TULIPO NA
TUNAPOKWENDA. MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA IMANI YAKO
ITAWALE AMEN”
Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani