NI kundi LINALOUNDWA na vijana 6 toka ROCK CITY, MWANZA wanaofahamika kama SMART BOYS
MAJINA YAO NI
MAGA BOY
MADY B,
YOUNG SADALA,
CHUSE BREEZY,
R.BASTA MA-LOVE
Na NEST ONE aliyesimama kwenye chorus
Studio:COSU RECORDS
Prod:GEE
ngoma hii imepokelewa poa sana na wakazi wa kanda ya ziwa
ilipotambulishwa na mtangazaji wa 96.1 SAUT fm JULIAN DAMAS {mtoto wa
mwenye duka}
vijana hawa wanahitaji mdhamin kwa ajili ya kuwawezesha kimuziki..
kwa mawasiliano zaidi juu ya interview au ufadhili piga namba 0769661917,
au nicheki kupitia facebook.com/juliandamas
TUNAOMBA SUPPORT YAKO KUWEZESHA VIPAJI VYA VIJANA.ONE LOV