Wako bize ajabu ili mradi mambo yaende sawa!!
Maandalizi yanaendelea!!
Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za
mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA
watajua hatma yao.
Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi
wa Mlimani City
jijini Dar es Salaam.