NGONO ZAANZA KUTAWALA JUMBA LA BIG BROTHER.....VIDEO YA BOLT NA BETTY YANASWA WAKIFANYA NDANI YA JUMBA HILO

Mpaka sasa tayari tumeshuhudia couple 4 za housemates katika Big Brother ‘The chase’ , lakini couple ya mu Ethiopia Betty na mu Sierra Leon Bolt ndio ilikuwa ya kwanza kufahamika katika wiki ya kwanza toka mchezo uanze (May 26). Couple ya Bolt na Betty ndio ilikuwa ya kwanza pia ku’kiss kama uthibitisho wa ‘love at first sight’. Baada ya hapo maisha ya mjengoni yaliendelea vizuri huku mapenzi ya ‘love birds’ hawa yakizidi kukua kila kukicha japo waliamua kupeleka mambo taratibu. Lakini wiki hii inaonekana kiu ya toka (May 26) iliwakaba ‘love birds’ hawa na kuamua kuikata kwa kufanya kile wanachofanya wapenzi wanapokuwa...
Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani