
Zitto Kabwe amefunguka na kudai kuwa kwa sasa wanajiandaa kufanya mapinduzi ya nchi endapo serikali watu walioficha mabilioni uswiswi hawatashughulikiwa ipasavyo.... Suala la baadhi ya Watanzania kuhifadhi mabilioni ya fedha nchini Uswisi limechukua sura mpya, baada ya tume maalumu kuwahoji vigogo 200 wakiwamo wabunge, wanasiasa na wafanyabiashara. Habari zilizopatikana zinaeleza kuwa tume hiyo inayoongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,...