MADAM RITA KUMFUNGULIA KESI NEY WA MITEGO KUTOKANA NA NYIMBO YA SALAM ZAO


Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) kwani eti alisema Madam Rita huwa hatoi zawad anazoziahidi kwa washindi wa shindano lake la kusaka Vipaji,
Je Kama ni kweli kuhusu Kesi hii Ney wa mitego ataweza kulipa milioni 500? Tayari msanii huyo amesema yuko tayari kwenda mahakamani na ataweka mwanasheria wa kumtetea.
Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani