Hip-Hop Collabo toka kwa BadSpenderz waloipa jina "Wataelewa tu" wakiwakilisha Arusha na hapa wameshirikishwa wasanii kibao akiwemo Freddie FidoVato Bounako D Maujanja na Moplus, wimbo umetayarishiwa studio za Noizmekah chini ya producer Defxtro, Download HAPAna kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Badspenderz kupitia +255
759 737 673 au +255 764 614 388 powered by www.vmgafrica.com