AUDIO | MarcoChali Foundation[VanStar, Amiri, Kulea, Unique, D-Xypher, Waziri Wazzy - Sijalewa Leo | Download



Huu ni wimbo mpya wa MARCO CHALI FOUNDATION unaitwa SIJALEWA LEO,
MARCOCHALI FOUNDATION na ZANTEL imeanzisha EPIC OPEN MIC kwa nia ya
kusaidia vipaji vya wasanii wachanga, na mpaka sasa imefanikisha round
ya kwanza ambayo ilipata wasanii 28 waliofanya vizuri. Lakini
walioimba kwenye wimbo huu(SIJALEWA LEO) ni baadhi ya wale washiriki
28 walipatikana kwenye ROUND YA KWANZA ya EPIC OPEN MIC ambao ni
Jackson Michael(VanStar), Amiri(Amiri), Kulea Richard(Kulea), Scovia
Derick(Unique), De'Cypha simony(DeCYPHA). Tunategemea ushirikiano wako
kusaidia vijana hawa kufika sehemu nzuri kimziki.
Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani