Naibu spika J. Ndugai ametoa amri Mbowe atolewe nje baada ya Mbowe
kuomba muongozo ila Job Ndugai akamuamuru akae chini na asiongee
chochote ndipo Mbowe akakataa kukaa mpaka asikilizwe anachotaka kusema.
Wabunge wa upinzani wamegoma Mbowe kutolewa nje na kinachoendelea ni kupigana kati ya askari na wabunge wa CHADEMA.
BREAKING NEWS: NGUMI ZAENDELEA BUNGENI KATI YA WABUNGE WA CHADEMA NA ASKARI
Labels:
Habari Kittaifa,
matukio kitaifa