FEZA KESSY AVAMIWA NA MAJAMBAZI WENYE SILAHA NZITO.....MWENYEWE AFUNGUKA NA KUONGEA KWA MASIKITIKO..!!



Feza Kessy mshiriki wa Big brother the Chase amepatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi wenye silaha siku mbili zilizopita. Feza Kessy amesema kwamba tangu avamiwe na majambazi hao hajisikii kuwa na amani kabisa. Feza Kessy anaendelea kuwashangaa hao majambazi kwamba silaha walizobeba zilikuwa za nini?, au walidhani kwamba anapesa wakati hakushinda Big brother na alikuwa hana kazi kwa muda miezi mitatu iliyopita. Pole sana Feza Kessy na hizi ni tweet zake akielezea tukio hilo

Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani