ni wangapi ambao wameingia katika mahusiano baada ya kuzoeana sana kama marafiki?Ni wengi mno.
MVULANA NA MSICHANA NI KAMA SUMAKU MBILI UKIZIWEKA PAMOJA LAZIMA ZIVUTANE(N and S attracts each other.).
OGOPA SANA KAMA WEWE NI MVULANA demu wako ukiongea nae kila mda anakwambia huyu ni rafiki yangu tena wa kiume hasa kama upo mbali,HAO HATA WAKI-DO hautaelewa kwa kisingizio cha urafiki wao,
WEWE MSICHANA unampigia boyfrend wako kila siku huyu anakwambia huyu msichana ni rafiki yangu.
OGOPENI SANA MWISHO WATA-DO na PENGINE WANAKUWA WAPENZI WA KUDUMU NA WEWE UNAWEKWA PEMBENI.
wangapi walianza kama marafiki?Nyosha mkono.