Baada ya kufanya na wimbo wa 'Pombe Yangu' msanii Madee kutoka Tip Top
Connection amesema yuko njiani kuachia ngoma yake mpya inayoenda kwa
jina la 'Tema Mate Tuwachape' iliyofanyika pande za Mj Records produza
akiwa ni Marco Chali.Kaa tayari kwaajili ya 'Tema Mate Tuwachape'.
HIKI NDO KITU KINAFATIA KUTOKA KWA MADEE(TIP TOP CONNECTION) AKA RAISI WA MANZESE
Related Posts :
Labels:
Bongo Fleva,
Burudani,
Habari Michezo,
Udaku
Post a Comment