MASANJA MKANDAMIZAJI AFUNGUKA KUHUSU SKENDO YA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA NA SERIKALI KUSHIKILIA PASSPORT YAKE...!!
Masanja
Mkandamizaji afunguka alipolonga na Vijimambo kuhusu kudaiwa kuhusika
na madawa ya kulevya na kuhusu kushikiliwa kwa Passport yake na
Serikali, MSIKILIZE
Hii ndio Nyumba ya Ghorofa ya Masanja Mkandamizaji inayomhusisha na madawa ya kulevya