
Mrembo wa Facebook

Hapa Mrembo wa Faceboo akiwa ameanza kuvua nguo taratibu ilikuwa kama masihala vile.





Fathiya hapa ameamua kuvua kabisa ili kubaki na chupi peke yake.


Na Mwandishi Wetu
WakatI maelfu ha waumini wa dini la Kiislam duniani wakiwa ndani ya
mfungo mtukufu huku wengi wao wakitumia kipindi hiki kupunguza maovu
yao kwa mola kwa kufanya ibada,Hali imekuwa tofauti aliyekuwa mshiriki
wa shindano la kumtafuta Miss Utalii Taifa Faithiya Madoud amepiga picha
chafu za kujidhalilisha pamoja na kumdhalilisha mwanamke wa kitanzania.
Picha
hizo chafu kwa mara ya kwanza zilinaswa na Xdeejayz toka kwa chanzo
chetu cha habari ambapo inadaiwa msichana huyo ambae ameanza kuonja
radha ya ustaa kufuatia kufanya vyema kwenye filamu za Mrembo wa
Facebook na Nimpende Nani amecheza kama staa.
Habari
za uhakika toka kwa chanzo chetu klichofikisha cd nzima ya picha hizo
mezani kwa mtandao huu hatari kwa kunasa matukio magumu kilisema kuwa
msichana huyo ambae mapema mwaka huu alishiriki shindano hilo la Miss
Utalii Taifa yaliyofanyika Mkoani Tanga. Lakini kwa bahati mbaya
hakufanikiwa kushika nafasi za chini lakini alichaguliwa kuwa balozi wa
Hotel zote za Kitalii nchini Tanzania pamoja na Kule Zanzibar
Hata
hivyo habari zaidi ziliendelea kusema kuwa bint huyo kabla ya kuingia
kwenye umiss alikuwa ni msanii maigizo na ametamba sana kwenye filamu
hizo kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa nchini.
Aicha
chanzo hicho kilisema picha hizo ambazo nyingine ni mbaya sana ambapo
blog hii imeshindwa kuzitundika zote kwa kuzingatia maadili kwa wasomaji
wetu lakini ilidaiwa kuwa picha hizo alikuwa anapigwa na mwanamke
mwenzake na ilionekana walikuwa Hotel na haikufahamika walifika kufata
nini kwenye nyumba hiyo ya wageni.
Baada
ya kupata picha hizo xdeejayz ilivuta waya moja kwa moja hadi kwa staa
huyo mtarajiwa na kwa bahati nzuri simu yake ilipokelewa na yeye
mwenyewe na haya ni mahojiano kati ya mwandishi wa Xdeejayz na mrembo
huyo " Xdeejayz habari yako dada bila shaka naongea na Fathiya? " Ndiyo
habari yako nani mwenzangu?"
Xdeejayz"
Hapa ni ofisi za DTV kupitia blog ya Xdeejayz" Fathiya" Ndiyo nikusaidieni nini DTV?"
"Xdeejayz
ahsante sana Fathiya ofisi yetu imenasa picha zako za utupu hivyo
tulitaka ufike ofisini kwetu ili kuzitambua kama inawezekana au
thubitisha kama uliwahi kupiga picha na namna hiyo"
"Fathiya umesema wewe nani?
"Xdeejayz ofisi za DTV kupitia blog ya xdeejayz"
"Fathiya
sasa kwani nani kawaletea hizo picha? mimi hizo picha nilipiga kwa
matumizi yangu binafsi sasa nyie inawahusu nini lakini mbona waandishi
wa Tanzania mnapenda kufatilia maisha ya watu? Sitaki kabisa mtoe picha
zangu kwenye Tv yenu au gazeti la sivyo nitakufa na mtu sipendi kabisa
****** zenu" Alimalizia na tusi Fathiya kisha akaata simu.
Hata
hivyo juhusi za kumtafuta Rais wa Miss Utalii Tanzania Gedion
Chipungahelo hazikufanikiwa baadaya namba yake ya simu kushindwa
kupokelewa.
XDEEJAYZ ina laani vikari tabia za mabint wenye tabia chafu kama hizi za kujipiga picha za kujidhalilisha bila sababu za msingi.