MSANII MWINGINE AIBUKA NAKUSEMA CHORUS YA WIMBO MPYA WA DAIMOND 'NUMBER ONE' ILIKUWA NI YAKE
Msanii Baba Levo ambaye pia ni moja kati ya wasanii wanaounda kampuni ya
Kigoma Allstars amesema Daimond amemwibia chorus yake nakuimba katika
wimbo wake mpya 'Number One' ambao umetoka hivi karibuni.Msanii huyo
ameandika hivi katika ukurasa wake wa 'facebook'