MTAZAME SHOGA ALIEACHA USHOGA NA KUOKOKA NA KUMRUDIA MUNGU..!! NA HIZI NI PICHA ALIVYOKUWA SHOGA NA ALIVYO SASA
Anti Asu
alikwenda katika kipindi cha Dida MITIKISIKO YA PWANI na kueleza kua
ameamua kumfuata Mungu na kuokoka kabisa. Tazama hapa alivyokuwa mwanzo
katika picha alizoleta watu watazame wakati akiwa shoga kabisa. .