Leo hii kupitia XXL, Rich Mavoko ameachia wimbo wake mpya "Roho Yangu" amabyo ameifanya chini ya producer Mazoo.
"kama unakumbuka wimbo huu ulitakiwa kutoka wiki iliyopita, lakini
ilishindikana na kutokana na hali ilivyo kwasasa safari za show zimekuwa
nyingi na ukiangalia kesho pia nasafiri, basi imenibidi niitoe leo".
amesema Mavoko