Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu akimtunza mama yake Kanumba Flora
Mtegoa a.k.a. Mama mkwe wake mara baada ya mama huyu kumfwata msanii
huyo wakati alipokuwa akicheza muziki uliokuwa ukitumbuizwa na Machozi
Bendi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakati wa
uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyoandaliwa na msanii mwenzao
Elizabety Michael 'Lulu'
Wema Sepetu akimfuta machozi mama yake Kanumba, Flora alijikuta akishindwa kuzuia hisia zake baada ya kutunza kiasi cha fedha cha kutosha kabisa kwa matumizi hata ya wiki nzima na mwanadada huyo
Wema akionyesha heshima kwa kumpigia magoti mwanamama huyo ambaye alishawahi kuwa mkwe wake kipindi hicho