VIDEO: ANGALIA NDOA YA WATOTO WADOGO KABISA ILIVYOFANA HUKO MJINI DODOMA...INASIKITISHA SANA..!!


Vitendo vya ukatili wa kijinsia bado vipo katika jamii yetu, nikiwa huko mkoani Dodoma nilipata kushuhudia ndoa ya watoto wadogo kabisa, kiukweli nilikuwa nashangaa na bado nashangaa mpaka sasa hata siamini, haya nilikuwa nikiyasikia tu ama kuyasoma ila nimepata kuyaona kwa macho yangu.. 


mdau tutazame then tuje kuchangia mawazo mana inabidi ifike muda vitendo hivi vya ukatili wa kijinsia iwe vimefika mwisho...
ANGALIA VIDEO HAPO CHINI...
Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani