Video ya Bila Kukunja Goti kuanza kuonyeshwa katika channel kubwa 4 za muziki Africa

The most awaited video kutoka kwa wakongwe wawili nchini Fa na Ay, "Bila Kukunja Goti" inatarajiwa kutoka siku
yoyote kuanzia kesho. Video hiyo ilifanyika nchini South Africa chini ya kampuni ya Godfather na kwa mujibu wa maelezo ya Ay na Fa, tayari wameshakamilisha process ya kuzisambaza katika vituo vikubwa vya television kama Trace, Mtv Base, Channel O pamoja na Sound City na video hiyo imepitishwa tayari kwa kuchezwa baada ya kuoneka kufikia viwangi vyao.
MwanaFA
Siku nyingine hatua nyingine...video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa kufikia viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound City...Yes,itaonekana kote huko...‪#‎AfrikaNzima‬...‪#‎GoingPlaces‬...‪#‎KeepingTheGoodMusicAlive‬
Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani