WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE YA UKUMBI


**PICHA MAKTABA Wabunge wa Kambi ya Upinzani wametoka nje baada Naibu spika kushindwa kutolea ufumbuzi hoja za upinzani na kutaka kuwaburuza baada ya kusimama Tundu Lisu kuuliza muongozo kuhusu kuleta mswaada bila kuwahusisha Zanzibar huku Tanganyika wakihusishwa! Naibu spika akatumia nguvu ya kiti cha spika kumzuia asiongee ndipo upinzani kutoka nje!credit: JF
Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani