OMMY DIMPOZ AKIWA NDANI YA EMIRATE BUSINESS CLASS AKIELEKEA TANZANIA
Mwanamuziki wa Bongo Flava aliyemaliza
Tour yake ya kwanza nchini marekani Ommy Dimpoz ameondoka leo kuelekea
Tanzania ambapo ana show inamsubiri kesho usiku
Kushoto ni Promoter na Tour Manager "DMK" Pamoja na (kulia)Mwanamuziki
Mtanzania aishie Marekani "AJ UBAO" Wakiwa Airport Walipo Msindikiza
Ommy Dimpoz(katikati)
Ommy Dimpoz amewashukuru Tanzania Wote
kwa kumsupport na pia Kuwaambia miji ile ambayo hakupata nafasi ya
kuitembelea kuwa wakae mkao wa kula kwani atarudi kwa part two mwezi
december, Tour Yake hiyo Part two itakuwa katika miji ya New York,
Dallas, Oakland Chicago na Boston, Pia aliwashukuru Mapromota wake kwa
kumkatia Business Class ili aweze kupumzika vizuri akiwa safarini kwani
ana Show Dar es salaam mara tu baada ya kutua anaenda moja kwa moja
kwenye Show..BONGO FLAVA IKO JUU!