Mwanamuziki Diamond Platnumz anazidi kufanya collaboration na wanamuziki kutoka nje ya nchi ambapo wakati huu amefanya na mwanamuziki kutoka Zimbabwe , anayefahamika kwajina la Jah Prayzah.
Bofya ku Download Music: Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz – Watora Mari.