Katika uzinduzi huo pia Diamond alimpa zawadi ya gari Msanii Mkongwe Ngurumo aliyetangaza kustaafu siku za hivi karibuni.
Diamond alisema amesikitishwa sana baada ya kusikia msanii huyo kustaafu katika muziki na bila kumiliki gari lolote katika enzi za ujana wake mpaka uzeeni ndio sababu ya kumpa zawadi ya gari aina ya Funcargo.
Itazame hii video uone yaliyojiri kwenye uzinduxi a video ya wimbo mpya wa Diamond 'Number One'