Raisi wa marekani Barack Obama amesema katika interview iliyoruka siku
ya jumanne kuwa alitokwa na machozi wakati alipokuwa akiangalia movie
mpya ya Lee Daniels "The Butler", Movie inayomhusu mtumishi mweusi (White house) ambae alifanya kazi kwa maraisi 7 kadhaa.
"Na bado kwa hadhi na mshikamano, Wakaamka na kufanya kazi kila siku na kukabiliana na kila aina ya fujo kwa sababu walitumaini mazuri kwa ajili ya watoto wao." aliongezea Obama
Raisi Obama pia amesema sehem iliyomfurahisha katika movie hiyo ni wakati muigizaji Cuba Gooding Jr alipokuwa akitoa vichekesho lakini alisisitiza ni vichekesho ambavyo maneno yake hawezi kuyarudia redioni, pia amewasifia sana waigizaji Forest Whitaker pamoja na Oprah Winfrey.
"I thought Forest Whitaker was wonderful," Obama said. "And Oprah, my girl, she can act. She's just a wonderful actress, so I'm glad they did it." amesema Obama