jokatem"Okay
leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following
pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is
NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true
inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka
uhalisia. And that's what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka
yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka
BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani
kuliko maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi
mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na
kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me
cause ndio anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule. Ila I'm a
pretty good girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don't be
fooled by my PRETTY BABY FACE I know what I want, am fierce and I don't
take trying to tarnish my image easily. So kindly don't mess with
KIDOTI. Msione mtu mkimya mkajua ndio wa kumuonea. Still waters run deep
3. Yes there's some guy I'm checking out. Like any other female I
deserve love cause I got so much love to give hey. So whoever it is
tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno. Have a blessed evening!!!.."