Rapper Gucci Mane achafua twitter kwa diss ambazo amezielekeza kwa
karibu kila msanii unaemfikiria. Kila mtu mwenye jina flani kutoka
Atlantic Records kuanzia Nicki
Minaj, Ciara, Waka, Jeezy, Rick Ross Vanessa, editor-in-chief wa XXL
magazine, mpaka mschana wake mwenyewe Keyshia D’oir!....majina ni mengi
fanya kuangalia mwenyewe.