 |
Msanii
wa vichekesho masai nyotambovu hatarini kwa miaka 30 kwa kile
kinachodaiwa kuwa karibu sana na wanafunzi wa sekondari, Shuhuda wetu
katutonya kwamba mara nyingi masai hupenda kuwa close sana na wanafunzi
tena wa jinsia moja (mademu), na pia muda mwingi huwa anautumia
kujifanya anawatania tania ili kuwavuta na kuwanyoa kirahisi. |
 |