
Ile
dhana ya madada zetu kujidhalilisha kila siku kwa wapenzi wao kwa
kukubali kupigwa picha ya utupu kiutaniutani ..na mwishowe kusambaa kwa
watu wake wa karibu na mpaka kwenye mitandao Sasa inatakiwa serikali
isifumbie macho kwa wote,yeye pamoja na huyo aliye mfotoa......
kuzishughulikia..
..
Leo
tunakutana na huyu dada (jina tunalo) yeye ni mfanyakazi katika shirika
moja(jina tunalo)...Nae picha zake za utupu ambazo alipigwa na mpenziwake na
nyingine alijipiga mwenyewe na kumkabidhi mpenziwe Na baada ya mahusiano yao
kuisha picha hizo zinaanza kusambaa na kudhalilisha jamii haswa kwa
wanawake.....
Sasa
baada ya kusambaa ndio wanawake (husika) huanza kulalamika kwa kusambaziwa
picha hizo na ma ex-boyfrnd wao...Je ni busara kujipiga picha za
utupu na kumuachia mtu mwingine aondoke nazo...?Tujifunze
Team
ya habarizetuleo blog kama kawaida yetu tulitonywa na mnyetishaji wetu na
kuzinasa picha hizi na lengo letu ni kujifunza na kuwaumbua wale wote tabia
kama hizi na pia kuifumbua macho serikali
iianze kuchukua hatua na sio kulifumbia macho na kutunga sera ambazo
hawajikiti kuzishughulikia
