UNYAMA...!!! MWANAMKE AMWAGIWA TINDIKALI USONI NA KUHARIBIKA VIBAYA, KISA NI WIVU WA MAPENZI...



Cyrill Okusan kijana wa miaka 22 ametajwa kama muhusika wa unyama huu,Tayari ameshafunguliwa mashtaka kwa kosa hili.

Nadhani ni wivu tu wa kimapenzi na roho mbaya ndiyo iliyosababissha yote haya,jamaa akaona wacha nimuharibu reception tuone baada ya mimi kama kuna mtu atakubinyia hata kijicho..mbaya sana! Kina dada kuweni makini na  ma-boyfriend wa kukutana nao mitaani bila hata kujua background na tabia ya mtu.

Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani