ALIKIBA AFUNIKA FIESTA MWANZA

ALIKIBA  AFUNIKA FIESTA MWANZA …WATU WAPAGAWA HUKU WAKIIMBA JINA LAKE
KIBAHAKIKA UKISEMA NANI KATISHA KATIKA FIESTA YA MWANZA KILA MTU ATAKWAMBIA ALIKIBA.ALIKIBA AMBAYE ALIPANDA STEJINI KAMA SUPRISE NA KUIMBA NYIMBO MOJA YA AJE ILIAMSHA SHANGWE UWANJA MZIMA HUKU MASHABIKI WAKIIMBA WIMBO WAKE WOTE WA AJE ..HATA BAADA YA KUMALIZA KUIMBA MASHABIKI WALIBAKI WAKIIMBA JINA LA ALIKIBA WAKIMTAKA AENDELEE .
Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani