miji 10 Duniani ambayo ni bora zaidi kwa kuishi

Najua mtu wangu wa nguvu unatamani kujua ni miji gani ni bora na inafaa zaidi kushi na pia ni ipi isyofaa, Economist Intelligence Unitwamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani ambayo ni bora na inafaa zaidi kushi kwa 2016. 

Ripoti ya utafiti huu imetolewa August 18 2016 ambapo utafiti ulizingatia mambo 30 ambayo yanayohusisha usalama, huduma za afya, rasilimali za elimu na miundombinu. Ripoti imeonyesha kwa mwaka wa sita mfululizo, mji kutoka Australia umeongoza kwenye miji bora zaidi kwa kuishi Duniani. 

Aidha ripoti hiyo imeonyesha mji wa Lagos, Nigeria umekuwa nafasi ya tatu Duniani ya miji mibaya kwa kuishi.

10. Hamburg, Germany

9. Helsinki, Finland

8. Auckland, New Zealand

7. Perth, Australia

=5. Adelaide, Australia

=5. Calgary, Canada

4. Toronto, Canada

3. Vancouver, Canada

2. Vienna, Austria

1. Melbourne, Australia

ULIKOSA YAKUFAHAMU KUHUSU KUPANGA 

Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji

Follow me on instagram

https://www.instagram.com/hancyclassics/

Follow Me Insta

A photo posted by hancyb (@hassanaly_b) on

 
Support : hassani bakari haji | +255755537543 | +255712919980
Copyright © 2016. hancyclassics - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by hassani bakari
Proudly powered by hassani